Soraya A. Souleymane
Member
- Aug 12, 2012
- 24
- 26
- Thread starter
-
- #21
Jina lako la zamani ni nani kwani(?)
Ila jina lako kama sio geni masikioni kwangu? Unamjua mzee mmoja anaitwa Kadende au jamaa fulani anaitwa Chirume ana dada yake anaitwa Maria?
Mbona jina kama la kiafrica magharibi? Anyway welcome back!
Karibu sana
wewe mgeni wewe matata sana, kwa mtindo huu hata mimi na verify aisee. Reputation power ya kufa mtu kwa post 8 tu? RESPECT! Yaani kidogo nijisahau... Karibu dear, hapa panaitwa ukiingia hapabandukiki! lolz.
I know! Remember, this is not my first ID. Hiyo reputation power hata mimi nimeshangaa, but nashukuru kwa walio niongezea.
kuwa tu makini Soraya, naoana utakuwa na admirer tayari, anakulainisha ka rep power, hara hara dear. Alafu hebu ni shawishi na mimi kitu gani kimekusukuma?
Mmmmh. Karibu Soraya. Karibu sana. Tafadhali mi ni mgeni wa majina haya kama
Vipi niPM jinsia yako na jina lako la zamani ili twende sawa. Hata hivyo nasubiri mwaliko wa Iddi, Aidha nakukaribisha pia nyumbani kwangu.
I just want to express myself. Hapo mwanzo nilikua natumia ID as a fictive character but it is about time I start interacting as me, the real me.

Mi ya sasa ndo sijaijua bado ndo haswaa nikiitafuta Neiwa
Aiseee, I love this. Ji-express mwayego.
That is really really good dear, ngoja nijipange na mie nijilipue. Kama hutajali ID yako ya kale?
I will reveal it on time.
All the best Soraya A. Souleymane.... All the best.
Nilitaka kuunganisha jina langu la zamani na hili hapa ila nikaambiwa nisubiri kidogo. Hao watu siwajui, ni nani kwani? Na wewe unamjua Mzee Hanga