Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
122/73 ni normal, hayo maelezo ya daktari kayafanyieni kazi na M/Mungu atafanya yake na bwana mdogo atapata afueni bila shaka.Vipendhy vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua wamesema ni gesi so wametupa dawa tutumie siku 4 then turudi hosptal.ahsant kwa ushauri wenu ila nazidi kupokea ushauri mwengine
Shuktan122/73 ni normal, hayo maelezo ya daktari kayafanyieni kazi na M/Mungu atafanya yake na bwana mdogo atapata afueni bila shaka.
Unapata shida ipiMm pia uwa napata shida kama iyo immediately nikinywa soda, pipi au biskuti
Niliacha hayo maviru kitambo na kwa sasa niko poa