Nimerudi nilimiss sana hili jukwaa!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale ni mda kidogo sikuwa hapa kutoka na harakati za hapa kasi tuu nilikuwa safarini kikazi namshukuru mungu nimerudi salama niko hapa nchini saa hivi naendelea na harakati za hapa kazi tuu!vipi wajameni kwa upande wangu mambo yanaenda sijui nyinyi!!
 
Ulikuwa mgodini ambako hakuna mtandao?
 
Sisi tupo jombaa,hali tia majimaji,na hakuna dalili ya kocha kubadirisha mfumo,kuanzia kipa hadi winga namber 11 wote mabeki,timu inajilinda tu mwanzo mwisho,matokea yake radha ya mchezo kupotea na washabiki kuisusa timu....Tafakali.
 
Sasa huko si ndo kuiasi timu
 
Karibu Ila ungejua ungebaki huko huko...
Japo nahisi ulikua Kwenye kifungo cha ban mkuu maana dunia Hii hakuna pasipo na mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…