Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jaribu kuformat
Ni njema tuu nakuwaza kucha kutwa mpenzi
You are not serious, right?
Nimekwambia nimekasirika kweli
Naelewa, nachouliza ni hivyo unavyosema umenifuta.
Baby niweke kwenye list list yako pleaseπππ
Baby niweke kwenye list list yako please
List ipi babyππ
Aisee.
Bado hujapotea?
Hata wewe pia matamu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Unanifukuza?
Ee nakufukuza
Nimechoka kuumizwa na mtu yule yule kila siku
Ya watu wako maalumList ipi babyππ
Sikai kikao chochote na wewe,najua Khantwe atakutetea
ππππ
Tunasajili unneccesary people
Mbona wewe muhimu sana kwangu...sanaaaaπYa watu wako maalum
Nilikua nimekununia naona umeona unifurahishe hiviπππHahaha.
Dah!
Usipende kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.
Mnatengeneza kikosi cha miaka ijayo.