Nimerudi tena kwa wale wadau wa ujasiriamali hasa hardware, transport, microfinance

Nimerudi tena kwa wale wadau wa ujasiriamali hasa hardware, transport, microfinance

Umesalimia tu. Mimi nilitarajia utaje bidhaa ulizonazo, bei zake na mawasiliano jinsi ya kuzipata. Haya fanyia kazi ushauri huu mkuu CONSULT
 
Last edited by a moderator:
Mkuu shikamoo nyingi zikufikie, naendelea vizuri.Ahsante sana kwa elimu kubwa ulonipatia
 
Umesalimia tu. Mimi nilitarajia utaje bidhaa ulizonazo, bei zake na mawasiliano jinsi ya kuzipata. Haya fanyia kazi ushauri huu mkuu CONSULT

shukran sana , lengo kuu ni kubadilishana Ideas na kuelimishana, kwa bidhaa sisi tuko kwenye Industry tofauti tofauti, sijui niweke za hardware au transport au finance ?
 
Mkuu shikamoo nyingi zikufikie, naendelea vizuri.Ahsante sana kwa elimu kubwa ulonipatia

Shukran sana StanleyRuta kwa mrejesho wako HAKIKA HIYO NDIO LENGO NA FURAHA YANGU, karibu sana kwa swala lolote na wakati wowote tubadilishane uzoefu na mimi naamini utafaulu sana tu na utafika mbali kwani UMEJITOA MHANGA KWENYE UJASIRIAMALI na hicho ndio Main factor.
 
shukrani sana mkuu
 
shukran sana , lengo kuu ni kubadilishana Ideas na kuelimishana, kwa bidhaa sisi tuko kwenye Industry tofauti tofauti, sijui niweke za hardware au transport au finance ?
Mkuu heshma yako,
Tuwekee za Hardware.

Wasalam!
 
Mkuu Mimi Naona Uelezee Vyote Ulivyovitaja Yaani Upande Wa Hardware ... Transport Na Finance ...
 
Mkuu ili nipate leseni ya management consultancy natakiwa niwe na vitu gani?

Bahati mbaya sijawahi jiuliza kitu hicho kwa hapa tz, pili Managent ni pana sana bora unge specify

Kama HR Managent , Service Managent, IT Managent, Operation/production Managent, Strategic Managent, Marketing Managent na nyingine nyingi.

Nachojua kwa taaluma yeyote ili uwe consultant lazima uwe na knowledge ya hilo eneo husika at least Bachelor degree plus experience at least 5 years na kama hapa nchini ipo professional Board ya hiyo taaluma wakutambue/ yaani uwe registed as professional consultancy kama ilivyo NBAA, PSPTB, ERB, CRB n.k

Bahati mbaya Tz hatujawahi kuwa Professional Management Board na km ipo sijawahi isikia

Nashauri kama ni ajira yako bora kuchukua leseni ya kawaida tu ya General Business Consultancy ambayo hutolewa kila wilaya watakuomba vyeti vyako vya degree ya business mfano BBA tu, fee ni sh 200,000= au 300,000=
 
Back
Top Bottom