Helloooo!!! Iam back
Kuna kitu chochote unauza au kuna kitu chochote unakihitaji?. Je, wewe ni dalali au mfanyabiashara?
Ok, Kwenye simu yangu nina magroup zaidi ya 120 ya whatsapp na yote yapo active. Pia nina groups za biashara kwenye facebook zipatazo 37 na zote ziko active na zina members wa kutosha.
Je, vipi kama ntakutangazia biashara yako kwenye haya magroup?
Ni kwa OFA ya shilingi 10,000 tu ntakutangazia biashara yako na uwafikie wateja wengi zaidi.
Utakacho kifanya. Utanitumia picha za bidhaa zako. Utanipa na maelezo ya muhimu juu ya bidhaa hizo. Pia kama utaweza kuwatumia wa mikoani pia utasema. Pia utanipa na namba zako ambazo muda wote zipo hewani. Pia utasema unapatikana wapi.
Then mimi ntaliandika tangazo zuri likiwa sambasamba na picha ya bidhaa zako na namba zako za simu.Kisha ntakutumia ulipitie. Baada ya kuliafiki ndipo naanza kazi ya kulisambaza. Ntalipost kila kona hadi humu jf utaliona.
Kumbuka, mfanyabiashara ni muhimu kuwafuata watu (wateja) popote walipo. Pia muhimu kupata wateja wapya kila siku.
Piga/sms/ whatsapp / kwa namba 0768919953
Sent using
Jamii Forums mobile app