DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 557
- 718
Kumbe we ndio joverest wa SasaKaribu mkongwe
Duh nimecheka kwa nguvu...duh hapana hayajawa hayoYamekuwa hayo tena!!!😳😳
Pole mkuu ulikuwa jela nini?, maana miezi 11 sio mchezoDuh nimecheka kwa nguvu...duh hapana hayajawa hayo
Majukumu tu ya kikaziPole mkuu ulikuwa jela nini?, maana miezi 11 sio mchezo
Yaani leo ndo nimelisoma jina lako kwa usahihi, mara zote huwa naliona limeandikwa NAJUHA.Yamekuwa hayo tena!!!😳😳
We huna dhamira njema...what?..Na..JuHa?Yaani leo ndo nimelisoma jina lako kwa usahihi, mara zote huwa naliona limeandikwa NAJUHA.
Mkuu kidogo hichi sama asanteKaribu mkuu...ila mngekuwa mnaaga wakati mnaondoka, sio tu mkirudi mnasema am back again!
Daah, ila shukran mkuu.We huna dhamira njema...what?..Na..JuHa?
Umedhamiria kumuita JuHa mwenzako huna lolote
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah, ila shukran mkuu.
Unaweza ukawa na simu na laptop na GB's of internet vifurushi ila ukakosa muda wa kuingia kwa social networksUliibiwa simu mkuu
Ok.nipe kabisa hiyo advance yangunlijua ume-die, nkakuandalia laki mbili za rambirambi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu ulikuwa jela nini?, maana miezi 11 sio mchezo