Nimerudi

Nimerudi

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
8,659
Reaction score
2,227
Habari zenu wakuu, nimerudi katika jukwaa letu pendwa baada ya mapumziko ya muda. Shukran kwa Mkuu Katavi, Mkuu watu8 na Mkuu Ulimakafu kwa kuendelea kuwapokea wageni. Bila kusahau members wote wapenzi wa jukwaa hili. Shukran.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka hata mie ulinipokea wewe.Na mie leo ngoja nikupokee karibu sana
 
Karibu tena mkuu, nilidhani labda umebadilisha uraia....
 
Back
Top Bottom