Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Aug 3, 2014 #1 Habari zenu wakuu, nimerudi katika jukwaa letu pendwa baada ya mapumziko ya muda. Shukran kwa Mkuu Katavi, Mkuu watu8 na Mkuu Ulimakafu kwa kuendelea kuwapokea wageni. Bila kusahau members wote wapenzi wa jukwaa hili. Shukran. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Habari zenu wakuu, nimerudi katika jukwaa letu pendwa baada ya mapumziko ya muda. Shukran kwa Mkuu Katavi, Mkuu watu8 na Mkuu Ulimakafu kwa kuendelea kuwapokea wageni. Bila kusahau members wote wapenzi wa jukwaa hili. Shukran.
Spider JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,640 Reaction score 550 Aug 3, 2014 #2 karibu tena mkuu Globu
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Aug 3, 2014 Thread starter #3 Spider said: karibu tena mkuu Globu Click to expand... Ahsante Mkuu Spider Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 Aug 3, 2014 #4 Nakumbuka hata mie ulinipokea wewe.Na mie leo ngoja nikupokee karibu sana
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Aug 3, 2014 Thread starter #5 Honey Faith said: Nakumbuka hata mie ulinipokea wewe.Na mie leo ngoja nikupokee karibu sana Click to expand... Thanks Honey Faith. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Nakumbuka hata mie ulinipokea wewe.Na mie leo ngoja nikupokee karibu sana Click to expand... Thanks Honey Faith.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 4, 2014 #6 Karibu tena mkuu, nilidhani labda umebadilisha uraia....
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Aug 4, 2014 Thread starter #7 watu8 said: Karibu tena mkuu, nilidhani labda umebadilisha uraia.... Click to expand... Haaa haaaa . Ahsante Mkubwa. Siwezi kubadili uraia, majukumu tu.
watu8 said: Karibu tena mkuu, nilidhani labda umebadilisha uraia.... Click to expand... Haaa haaaa . Ahsante Mkubwa. Siwezi kubadili uraia, majukumu tu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 10, 2014 #8 krb sana JF.............