Nimerudiiiiiiiiii toka jelaaaa ya jamiiforums

Nimerudiiiiiiiiii toka jelaaaa ya jamiiforums

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wana jf nimerudi toka jelaa jela ni mbayaaa hii ya jf ukishakuwa jela huna uhuru tena wa kuchangia taaabu tupu
 
we acha tu ban noma. Pole kiongozi na karibu tena jamvini
 
Uache sasa zile post zako za kijinga jnga....

Karibu tena....tuambie umejifunza nn ulipokuwa Segerea...
 
Uache sasa zile post zako za kijinga jnga....

Karibu tena....tuambie umejifunza nn ulipokuwa Segerea...
askari wajf ni wakatili sana walikuwa wananipa chakula kwa siku maramoja maji glas moja
 
Tena ujifunze kuwa na adabu! Tunafanya mpango mtakao kula ban kuanzia sasa msiweze hata kuchungulia kama guest users! Hapo ndio utajua kuwa mnatakiwa kulinda heshima zenu na heshima ya jukwaa. Usirudie tena. Nyambafu!

Hahahaha pole mkuu na karibu tena, tuli miss michango yako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duu wewe unastahili kurudi tena huko jela.maana haitachukua muda utatukana tena
 
Back
Top Bottom