Nimeruka ukuta.

Sangomwile

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
3,211
Reaction score
1,059
Nimekuja kujisalimisha,niliingia majukwaa mengine ya JF bila ya kupitia hapa.Hakuna sababu ya kuniitia mwizi,nipo mlangoni hodiiii.
 
Nami nilikuwa nakuja hukohuko!
Atupe jibu.

Nilivyoona tu heading nikaja mbio nikidhani ndo yaleyale ila kakosea jukwaa, atupe jibu kama anajua maana ya kauli yake!
 
Nilivyoona tu heading nikaja mbio nikidhani ndo yaleyale ila kakosea jukwaa, atupe jibu kama anajua maana ya kauli yake!

Haa haaa,Baba V taratibu angalia usije mrithisha V (Vicky?) hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…