Nimesababisha ajari

Nimesababisha ajari

Gasman

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
66
Reaction score
4
Habar wakuu.nimesababisha ajar nimegonga m2.usafiri wangu uko polisi mgonjwa amelazwa.nifanyenje kama atakufa,ndugu zake wanasema nichangie gharama za hospital nanimefanya hvyo,sasa kisheria nifanyeje?naomba msaada.
 
Pole sana mkuu. Mi sijui ila ingekuwa mimi ningekuwa bize na mgonjwa kama ikitkea bahati mbaya basi, mmereport polisi lakini? Kosa lilikuwa la nani?
 
Kama umeripoti polisi hiyo ni hatua ya kwanza.Pia ingekuwa vyema ukaelezea mazingira ya ajari yalivokuwa ndugu.
 
Nimesha fanya hvyo
pole sana mkuu,naweza kuona hali uliyo nayo kwa sasa kupitia maandishi yako!!tuliza kichwa,how serious mgonjwa yuko!!tusaidiane kumuombea apate uponaji wa haraka!
 
Back
Top Bottom