Habar wakuu.nimesababisha ajar nimegonga m2.usafiri wangu uko polisi mgonjwa amelazwa.nifanyenje kama atakufa,ndugu zake wanasema nichangie gharama za hospital nanimefanya hvyo,sasa kisheria nifanyeje?naomba msaada.
pole sana mkuu,naweza kuona hali uliyo nayo kwa sasa kupitia maandishi yako!!tuliza kichwa,how serious mgonjwa yuko!!tusaidiane kumuombea apate uponaji wa haraka!