comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Dunia ipo huru na inafikika takribani kila kona!, mkuu jichagulie taifa kaishi ikibidi badili na uraia kabisa.Nipo mkoa wa mbali sanaaa, juu ya milima kwenye kijumba cha mbao, napigwa na baridi na bia yangu mkononi, nawaza mengi.
Kwamba nchi nyingine zilijengwa na fundi tz ilijengwa na saidia fundi?
Kwanini kuitwa mtanzania inakua kama kushushiwa vyeo?
Yani mtu Burundi na mrwanda wapo proud na nchi Yao kuliko mtZ?
Je Tanzania ni Nchi tuu lakini sio Taifa?
Safari ndio bia Bora zaidi kuwahi kutokea kwenye uso wa duniaDunia ipo huru na inafikika takribani kila kona!, mkuu jichagulie taifa kaishi ikibidi badili na uraia kabisa.
NB: unakunywa bia gani namimi nikuunge mkono..?
Sawa ngoja nimuite mhudumu...Safari ndio bia Bora zaidi kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia