Nimesahau jina langu

Nimevunjika mbavu ssaaana leo!!! yaani wana JF wengine huwa wanajiandaa kwa makombora tu! Tehe tehe.
Makyao kamuulize madha yako, au mjomba.
 
Si kweli kwamba nimesahau jina langu.

Tehe tehee! Lakini si vibaya kusahau jina lako, kwa kuwa huwa hauhitaji kujiita, kwa kuwa wewe ni wewe. Wale wengine wanaohitaji kukuita ndo watapata shida iwapo watasahau jina lako, kwani watashindwa kukuita !!
 
Je mwanewane wakati wa kujitambulisha???Sipati picha..
 
Jina lako kwa tafsiri nyepesi ni mkimbia wembe! Ha haa haaaaa! usisahau tena sawa???
 
Tehe tehee! Lakini si vibaya kusahau jina lako, kwa kuwa huwa hauhitaji kujiita, kwa kuwa wewe ni wewe. Wale wengine wanaohitaji kukuita ndo watapata shida iwapo watasahau jina lako, kwani watashindwa kukuita !!

SINKALA,
Mtazamo wako unafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…