Nimesahau kama nimeoa!!!!!!

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
758
Habari ya mida wana jamvi,...... Kweli kila kitu usipofanya kwa kiasi huwa karahaaaa!!!
kuna jamaa yamemtokea puani majuazi ambapo jamaa alikuwa na tabia ya kunywa kupita kiasi na kujibebea vijimwana huku akijua kuwa My wife wake yuko home. Siku ya siku baba yule mlevi kaenda Bar kanywa hadi mida ya saa saba usiku na kama kawaida yake akatafuta Mrembo pale maeneo ya Shivaz akamwambia kuwa yeye hajaoa, akamweka kwenye gari na kuondoka nae kwenda home. alipofika home akagonga mlango na kufunguliwa na mkewake kama kawaida ya siku zote......jamaa akaingia ndani na yule demu wake, kufika ndani jamaa akaanza kusema.... Samahani mama watoto nilisahau kama nimeoa nisamehe jamani....my wife wake nae kweli akamwelewa akamchukua mume wake akampeleka chumbani na akamwandalia yule mke mwenza pa kulala..

Je wewe mwanajamvi ungefanyaje?
 
hadithi za sungura na fisi sijazisikia siku nyingi sana.
 


Good joke bro!
 
Jamani hii siyo jokes.... It's true story na jamaa sasa hivi amemwomba msamaha wife wake na ameamua kuacha pombe kabisa na kuokoka
 
hadithi, hadithi
 
Mer.. kama ni wewe ingekuwaje? maana inaonekana msamaha kwako ni balaa kutoa
 



Subiri hapo hapo....
 
Kama hadithi vile.Mnywaji yoyote na aliyeoa hawezi kufanya kitu ya aina hii mkuu,vinginevyo halmashauri yake kichwani ni questionable.
 

Hizi ni hadithi za kuongeza urefu wa maisha haya tulimo. Kwa maisha ya kawaida haiwezi kuwa rahisi kihivyo.
 
Mi pia ningemwandalia huyo mwanamke. Ningemchemshia maji ya kuoga. Tena ningewapisha chumba.
 


kama stori za Abunuasi!!!!!!!!
 
Acha utani bana. Hata ka vipi huwezi fanya hii kitu! Kama kweli kuna tatizo labda huyo mke alileteawa toka kanyigo kwaoooooooooo! Hamtaki anashindwa tu kumwambia mama nenda kwenuuuuuu! Lol
 
afu na mie nachukua remote kabisaa naangalia tv huku nasubiri umalize maandalizi!manake hata mie siogopi kuchinjwa!
Mi pia ningemwandalia huyo mwanamke. Ningemchemshia maji ya kuoga. Tena ningewapisha chumba.
 
Looooo hiyo haipo hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…