Nimesahau nilichotaka kupost

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Yaani Sasa hivi maada imenitoka kuna kitu nilikuwa nakiwaza nikasema nikawashirikishe Wana jf wana chitchat,Cha ajabu kimenitoka kichwani yaani hata sio muda mrefu Ni Sasa hivi sasa hivi tu.nikikumbuka nitawatag
 
Ngoja nikukumbushe

Ushamba: siku ya kwanza kununua simu!

Comment yangu sasa:

1.Aisee nilikuwa nabip watu wote niliowasev

2.Nikipita mbele ya watu napiga vile viringtone enzi hizo feroooz na ngoma yake ya hapa nilipo mm nipo kitandani utasikia tiiririii tirii taatatt tiriii aaah aaah najifanya simu inaita napokea kumbe uongo.

3.Nilikuwa nasikiliza vipindi vya radio ili nipate marafiki kwenye vipindi vya kutafuta marafiki mara nyingi niliishia kula nauli za wanaume

Nitaendelea baadae[emoji520]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…