Nimesahau pete NAMNANI HOTEL nikiwa mchepuko!

Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali. Zawadi NONO itatolewa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka

Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
 
Yaani ningekua mimi ndo huyo Mrs. nisingemuelewa! Hiyo chafuka mpaka utoe prete ulishika nini!?
 

Una uzoefu na hii michezo nini? Maana hizi mbinu si mchezo.
 
Wazoefu katika ubora wao[emoji1] [emoji1]
 
Duuh! Sa kwanini uliivua? Ni bora uvae tu ili mdada ajue kua umeoa. Sa ona ulichojisababishia! Afu wenzako wanavua na kuweka kwenye wallet au mfukoni.
Watu wana uzoefu sana hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…