Wewe mtaalamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka
Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
Wanaume nyie mna maana!!Asa uzoefu wapatia wapi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wewe mtaalamu
Kwa hiyo wewe hujapitia humo, ila umepitishiwa humo hadi ukawa mzoefu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaume nyie mna maana!!
Tushadanganywa sana so nampa mbinu tulizodanganyiwa baadae unakujua ukweli,unasikitika
Wakiutoa wapi? Kwa wanawake au wanaume wenzao??Wanaume ndio wanaoongoza Duniani kote kuleta Ukimwi majumbani mwao.
Mi mjinga sana kwenye mapenzi then sijui kudanganya na nkidanganya utajua hapohapo lands hizi za kawaidaKwa hiyo wewe hujapitia humo, ila umepitishiwa humo hadi ukawa mzoefu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka
Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
Sijawahi kuvua Pete yangu hata iweje, no way aiseeee
Wanaume nyie mna maana!!
Tushadanganywa sana so nampa mbinu tulizodanganyiwa baadae unakujua ukweli,unasikitika
Ndo kashadanganywa na ataendelea kudanganywa pia maana mumewe mapepe...So unaruhusu chain ya kufanganywa mwanamke mwenzako? Uwe na huruma we dada
Uoga wako tu wenzio mbona wanaendaga na pete zao.
Very interesting. Haha haaa!Duuh! Sa kwanini uliivua? Ni bora uvae tu ili mdada ajue kua umeoa. Sa ona ulichojisababishia! Afu wenzako wanavua na kuweka kwenye wallet au mfukoni.
Una experience nzuri kudanganya mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana...!kachonge tu nyingine hiyo Fanya umetoa sadaka
Ukiulizwa na Mrs.Blessing muambie nilichafuka vidoleni katika kunawa nkavua Pete Mara simu ikaita nikapokea sasa Pete nikiweka juu ya sinki nikaisahau hapo hapo!nikaondoka kuja kushtuka sina Pete!!
Nikarudi sikuikutaa[emoji3] [emoji3]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Una experience nzuri kudanganya mkuu