Nimesahau smartkey ndani ya gari nifanyeje?

Nimesahau smartkey ndani ya gari nifanyeje?

tahan96

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
86
Reaction score
104
Habari wana jf,

Katika hali ambayo sikutarajia nimejikuta na fungia ndani smartkey ya gari aina ya Mark X na hivyo gari imejilock na sina namna ya kuifungua maana sina spare key plus nilikua na wahi mahala nimefungia vitu muhimu ndani ya gari

Any suggestions nifanyeje hapa?
===
MREJESHO

Kusahau smartkey ndani ya gari
Kusahau smartkey ndani ya gari - JamiiForums

Wadau nime fanikiwa kutoa funguo ila ilibidi tushushe mlango wote wa dereva maana njia za awali zote ziligoma

Ahsanteni wote kwa mlio toa ushauriView attachment 1439525View attachment 1439526

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vunja kioo kidogo dirisha la nyuma.. fungua mlango ingia...kisha karudishie kioo kidogo haitazidi elfu 50
 
Wenye magari njoeni mtoe muongozo huku, wale wa MEKO naomba tusiharibu uzi wa watu, sisi jiwe na nyundo vinatosha.
 
Vunja kioo kidogo dirisha la nyuma.. fungua mlango ingia...kisha karudishie kioo kidogo haitazidi elfu 50

Hamna namna ya kutoa bila kuvunja vioo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ita breakdown ije kuchukua gari nasikia wanasaidia

Sema mimi mambo ya magari sijui

It is never too late to begin. Start now
 
Jifunze pia kuchonga funguo ya akiba na kuiacha nyumbani , au kuining'iza kwenye suruali huku nyingine ukiwa kwenye matumizi yako.

Kwa sasa vunja kioo kidogo lkn kwa kuita fundi afikiri kifundi atarekekisha.
 
Mimi nimeshindwa kukuelewa anyway.

Gari ninayotumia mm ukifungia key ndani inapiga alarm so huwezi fungia.

Pili, Nikiwa na key karibu bila hata ku unlock milango gari naweza fungua tuu na ikafunguka

Emaphakadeni
 
Mimi nimeshindwa kukuelewa anyway.

Gari ninayotumia mm ukifungia key nadani inapiga alarm so huwezi fungia.

Pili, Nikiwa na key karibu bila hata ku unlock milango gari naweza fungua tuu na ikafunguka

Emaphakadeni

Ile inakua ngumu sana kuisahau kwa gari, kwanza hailock, na utalock vipi bila key? Nahisi itakua imewekewa hizi alarm na security features za ziada ndio zinasababisha hiyo kitu.

Nafikiri ndio maana jamaa kasema katika mazingira yasiyokua ya kawaida hii imemtokea.
 
As long as the last door ilokua wazi ukaifunga basi kama uliacha smart key ndani milango inaji lock ukizingatia gari ilikua off.. sina utaalamu sana na gari zingine ila kwa Mark X hii ndo tabia yake.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ile inakua ngumu sana kuisahau kwa gari, kwanza hailock, na utalock vipi bila key? Nahisi itakua imewekewa hizi alarm na security features za ziada ndio zinasababisha hiyo kitu.

Nafikiri ndio maana jamaa kasema katika mazingira yasiyokua ya kawaida hii imemtokea.

Kwa sababu nlikua naweka vitu seat ya nyuma so katika kuvipanga nikasahau key chini ya bag then nika funga mlango nikasikia sauti ya door locks kucheki key zimo ndani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilipata fundi akasema kwenye milango madirisha hayana nafasi so option ya kutanua ni ngumu.. akaanza work from the bonet kufata uelekeo wa mlango ili aweze pata gap ya kutanua tuko kwenye process nikifanikisha nita wapa mrejesho

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kusahau smartkey ndani ya gari
Kusahau smartkey ndani ya gari - JamiiForums

Wadau nime fanikiwa kutoa funguo ila ilibidi tushushe mlango wote wa dereva maana njia za awali zote ziligoma

Ahsanteni wote kwa mlio toa ushauri
IMG_9427.JPG
IMG_9425.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa sababu nlikua naweka vitu seat ya nyuma so katika kuvipanga nikasahau key chini ya bag then nika funga mlango nikasikia sauti ya door locks kucheki key zimo ndani

Sent from my iPhone using JamiiForums

Pole sana mkuu. Hapo kwa sasa kioo kidogo kitalipa hiyo gharama.
 
Back
Top Bottom