Tupo pamoja katika kupata elimu kutoka Jambo moja tofauti na linaloele
Tupo pamoja bro! Katika kupeana elimu kutoka Jambo moja kwenda lingine linaloweza kushabihiana.
Yawezekana leo mtoa post nisiwe nimemsaidia kwenye kadhia aliyonayo lkn akajifunza kitu kwenye maisha mengine ya umiliki gari yenye mfumo tofauti.( Na wengine pia)
Binafsi nimewahi fungia funguo kwenye KIRIKUU, nikajulisha nyumbani bodaboda wakaniletea shambani maisha yakaendelea.
Kuna post ya tarehe 4/10/2017 programming ya funguo za magari zenye sensor na remote