NIMESALITIWA nisaidieni

Ohh my dear bht,why? siwezi kukukasirikia.Nakuamini mnoo😵ndoa shaka kabisa kipenzi changu.Najua ilikuwa ni tatizo la teknoloji tu.

thank you so much my dear!!! true ni tech ilisumbua na Iribini anajua hilo!!
 
thank you so much my dear!!! true ni tech ilisumbua na Iribini anajua hilo!!

Hahaha! Naona hapa ntahitaji kuwa kiungo mchezeshaji! Siyo? Am ready anyway!
 
naona hapa sijui nianzishe thread,au niwatwange pi-emu!nishaurini basi
 
naona hapa sijui nianzishe thread,au niwatwange pi-emu!nishaurini basi

mpwa anzisha uzi....kama kutakuwa na cha kuPM basi kianzie pale.....nimetoa ushauri wangu
 
mpwa anzisha uzi....kama kutakuwa na cha kuPM basi kianzie pale.....nimetoa ushauri wangu
namwaga mboga hapa hapa!......just wait and see!nikianzisha thread wataongea sana wakina vizibo,ngoja nimuingilie humu humu.....
 
HAHAHAHAHAHAHAH!
wewe bana wwewewe
mpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!SENKSI!
sasa nitawaambia hapa hapa
Hapana mpwa hapa hapafai,anzisha thread,hii thread ina mabalaa ya ugay na manuksi
 
yani nilikua nafuatilia kwa makini, huyu mi na wasiwasi nae sana.
wapwa si mumpotezee tu?
 
unalia badala ya kushukuru Mungu?

ajabu, ulitaka akutose ukiwa umefunga nae ndoa?

acha vituko, kamtolee Mungu sadaka kwa mambo makuu aliyokutendea kukutenga na huyo mwanamke "mjasiriamali"
 
Hivi siku hizi bado kuna wanaume wanabembeleza mabinti kweli? kwa lipi? anza mbele hacha kutuaibisha wanaume wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…