Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
- Thread starter
-
- #21
Sasa ndio mapenzi gani hayo? Kweli kuna watu wanaweza kuishi hivo ila sio mimi na mume wangu anajua na anaheshim approach yangu ya maisha: maisha yake na maisha yangu ni kitu kimija na kabla ya kufanya chochote anatakiwa kupima impact ya maamuzi yake kwa maisha yetu kama mume na mke... Siwezi kuacha kumfwatilia bata maisha yake...dada kama wampenda mumeo na wataka kuendelea kumuamini basi nakuomba usimfuatilie kwani utakufa siku ukimbamba ana kazi ya nje.
we faidi utamu wa nyama ya bata...usimfuatilie bata maisha yake.
Mwenyewe nimemshangaa!Ila wajuzi wanadai ni heshima kuitwa demu!Kwa hiyo red umenikosesha hamu ya kuchangia. Wewe ni mwanamke kweli unamwita mwanamke mwenzio DEMU????Kha napata mashaka kama wewe ni mwanamke unatabia chafu sana
Hivi hili neno lina maana gani? Mi nalichukulia kama "mpenzi" ila maybe nakosea... basi naomba mchangie kwa kulichukulia katika context la "mpenzi". Nadhani nilitumia neno hilo bila kulielewa vizuri.Kwa hiyo red umenikosesha hamu ya kuchangia. Wewe ni mwanamke kweli unamwita mwanamke mwenzio DEMU????Kha napata mashaka kama wewe ni mwanamke unatabia chafu sana
Sasa demu si kiswahili cha dame ambayo ni mwanamke tu?
Hivi hili neno lina maana gani? Mi nalichukulia kama "mpenzi" ila maybe nakosea... basi naomba mchangie kwa kulichukulia katika context la "mpenzi". Nadhani nilitumia neno hilo bila kulielewa vizuri.
Nitajaribu. Hata mimi najiskia vibaya sababu naona kosa lake lilikua la ma saa ila langu la kukumbuka nakumfanya ajiskie guilty linakua la miezi sasa... ila kama nilivo sema najaribu kusahau nashindwa. Hivi nimefikia hatua ya kutomwambia kabisa wakati nakumbuka.Kama kila unapokumbuka inakuuma, then I guess kuna shida hapo. Na japo umesema "naogopa kosa lake lile litakuja kutia sumu katika mapenzi yetu.", mimi nahisi tayari sumu imeshaanza kuingia ndani.
Mumeo-nikijaribu kujiweka kwenye viatu vyake-sas hivi anaishi na guilty conscience kwamba mkewe hujamsamehe bado. Inamuuma pia ukumbuke.
Nakushauri umsamehe ya kutoka moyoni na siyo tu ili mambo yaishe, then muombe Mungu autoe uchungu ulio ndani ya moyo wako ili sumu hiyo isijedhuru familia yako changa!
Done dada DA. I hope Babygirl is happy too na atachangia sasa. Sina hasira na huyo ex wake na kwa hivo sina sababu ya kutumia neno "pejorative". Karibuni na asanteni kwa kunikosoaRudi kwenye post yako ukaedit vinginevyo.....................Im out wish you lucky
dah! umenivunja nguvu dada. Mbona naona nitashindwa kuvumilia?Hivi aliyesema kuwa ni lazima ukisamehe usahau ni nani???? Mimi hapa ndipo ninapokosa mwelekeo....nitakusamehe kwa kuwa ninakupenda na ninaelewa kuwa wewe ni binadamu kama mimi, kukosea tumeumbiwa ila sitasahau na nitalicarry kwa tahadhari yangu.......tusidanganyane bana HAKUNAGA kusamehe na KUSAHAU, huwa tunaignore tu, maumivu hayasahauliki!
dah! umenivunja nguvu dada. Mbona naona nitashindwa kuvumilia?
Asante sana Black... Kwa kweli nampenda sana mume wangu na naona ameongeza sana juhudi za kuonesha mapenzi... Nitajaribu na mimi kuongeza za kwangu tuone mwisho wake. Asante (THANKS button iko wapi when I need it???)Kusahau kwa haraka ni ngumu.......unachotakiwa kufanya usimweleze vile unajisikia............jinsi unavyoendelea kupata ushirikiano mzuri kutoka kwa mumeo ndivyo itakusaidia kusahau
Kama kila unapokumbuka inakuuma, then I guess kuna shida hapo. Na japo umesema "naogopa kosa lake lile litakuja kutia sumu katika mapenzi yetu.", mimi nahisi tayari sumu imeshaanza kuingia ndani.
Mumeo-nikijaribu kujiweka kwenye viatu vyake-sas hivi anaishi na guilty conscience kwamba mkewe hujamsamehe bado. Inamuuma pia ukumbuke.
Nakushauri umsamehe ya kutoka moyoni na siyo tu ili mambo yaishe, then muombe Mungu autoe uchungu ulio ndani ya moyo wako ili sumu hiyo isijedhuru familia yako changa!
Wewe vumilia bana, tatizo la MwanajamiiOne yeye ali-tendwa pakubwa sana ndio maana mpaka leo hii hawezi kusahau hiyo kitu iliyomtokea! Yaani ni kama huyo jamaa yake alimpotezea dira ya maisha hivi! thus why bado analo tu ndani ya moyo wake! We hiyo ipotezeee tu dada yangu
Silh hapana usivunjike moyo.........unawezasamehe kabisa na aisha yakaendelea ....wasiwasi wangu mie najiuliza kama umetendwa je ni kweli wawezasahau kabisa? yaani usiwe na kumbukumbu kabisa kuwa alishawahikutenda au huwa tunaamua tu kutokukumbuka but siku akikutenda tena unakumbuka kuwa si mara ya kwanza??dah! umenivunja nguvu dada. Mbona naona nitashindwa kuvumilia?
Sema tu ndugu. Naona wanawake wangi wamechangia ila wanaume wanakaa kimya zaidi. Bora nijue pia ni kipi naweza kufanya ili mume wangu aamini nimemsamehe kweli, sababu namuona anakua mnyonge, baada ya kuomba msamaha na kuongeza juhudi za mapenzi alitegemea yataisha...Sijajua cha kusema bado!