Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 28 Jul 3, 2011 #61 Kovu lazima liwepo,na maumivu kupoa inahitaji muda,unachohitaji ni kuwa karibu zaidi na mumeo,aonyeshe kujali zaidi,na wewe vivyo hivyo na hatimae litakuwa historia.Naamini hii itasaidia
Kovu lazima liwepo,na maumivu kupoa inahitaji muda,unachohitaji ni kuwa karibu zaidi na mumeo,aonyeshe kujali zaidi,na wewe vivyo hivyo na hatimae litakuwa historia.Naamini hii itasaidia