Nimesemeshwa na paka leo jioni

Nimesemeshwa na paka leo jioni

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?
 
Mambo ya mtaa wa Hogwarts hayo bundi alimsemesha mtu-Harry Potter & Philosopher's stone
 
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jirani sio poa kuniita paka ila jua leo usiku naijia hela yangu ukibsha nakugeuza kuku tena jike ili jogoo wa mama hamis akupande
 
Kila mikosi ni wewe tu hata ukiliwa na popobawa usisahau kutuambia pia
 
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka kazini jiraniii leo usiku tunakuja kukuroga na kukugeuza kuku"

Nimeogopa sana yaani leo usiku nageuzwa kuku?

Nilidhan sikukuu yenu imeisha na kupita kumbe bado. Bora kesho ifike mapema ili iwe tarehe 2 April. Lisikukuu lenu hili wajinga na ujinga lina bore
 
Mainami mabovu mabovu tu yanayomkasirisha Mungu haya
 
Wewe ni kati ya watu wenye bahati sana. Kusemeshwa na wanyama, huo uwezo ni watu wachache sana waliojaaliwa hizo bahati.
 
wakuu hiki kisanga cha leo sitasahau mpaka nikakumbuka mikumi
 
Back
Top Bottom