Tukiacha matani kama jama, anavyo tania, kuna jirani yetu aliwahi kusemeshwa nakitu kisicho onekana kwasauti ya kike na pia mume wake na watoto wake wali sikia nanuku, maneno yaliyo semwa nahicho kitu kwamujibu wa walio sikia " Jirani tuna omba dawa ya mboga". walio sikia wa waka hoji ninani una omba dawa ya ,mboga' usiku huu? Kumbuka ilikuwa ni usiku mnene, Kikajibu kwaku omba vile vile wala jina lake hakiku taja hicho kitu nahata, walipo toka nje, haku onekana hata kidogo ila ukikiuliza chochote, basi kita omba "dawa ya mboga" baada yahayo haiku pita siku nyingi, mume wake nayule mmama, aka aga dunia , sasa sijui yule mume ndio "dawa ya mboga" kumbuka dawa ya mboga ni 'viungo vya mboga' hasa chumvi.