Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa yako sio haramu.Dawa ya wale wanaopita kwenye sehemu za starehe na kutaka kuchangiwa pesa kwa ajili ya ujenzi ama ununuzi wa vitu vinavyohusiana na mambo ya kiimani ni kuwaambia tu NIMESHACHANGIA..!
Hawahawa ndio wanakuponda huko ila pesa haramu wanaitaka
wataeelewa tuEti wengine haajaelewa
sawaTuwaombee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji23] [emoji124] [emoji124] utaitwa mchocheziMshana, sio hao tuu ..., ongeza na wale wanaojitapa kukusanya kodi kwa ma trillion lakini bado wanatangaza kuomba za madawati ...