Nimeshaenda kwa waganga mara nne na kila mara napoenda haimalizi hata wiki moja najutia uamuzi huo na nakimbilia kusaidiwa kufanya sala ya toba

Nimeshaenda kwa waganga mara nne na kila mara napoenda haimalizi hata wiki moja najutia uamuzi huo na nakimbilia kusaidiwa kufanya sala ya toba

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
306
Reaction score
706
Sasa nikajisemea haijalishi magumu haya nayopitia, sitaki niipoteze na nafsi yangu pia na labda familia yangu kwa ajili ya maisha mazuri.

Ushawahi kujiuliza baada ya kwenda kwa mganga ni ipi stori ya nyuma inabaki ambayo wewe haujui, nini kinabaki katika roho yako, nini kinafanyika katika nafsi yako, ni bei gani ya kiroho utaenda kulipa?

Roho yangu huwa inanisuta sana na kuniuma na kujiona hii sio asili yangu na inaambia sawa unaweza kusaidika ila katika gharama gani

Waganga never forver and ever, acha nieendelee kupitia huu msoto hadi kieleweke hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom