Pre GE2025 Nimeshangaa dereva wa Malori ya Makolo Enterprise anataka kuandamana na CHADEMA kisa analipwa tsh 240,000 mshahara kwa mwezi!

Pre GE2025 Nimeshangaa dereva wa Malori ya Makolo Enterprise anataka kuandamana na CHADEMA kisa analipwa tsh 240,000 mshahara kwa mwezi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumbe waungaji mkono wa maandamano Wana ajenda mbalimbali siyo ile miswada ya sheria za uchaguzi pekee

Jana bwanamdogo mmoja amenihakikishia piga ua 24 January Lazima aandamane kupinga kulipwa mshahara mdogo kwenye kampuni ya Makolo Enterprise

Kwa kweli Nimeshangaa na kuelewa kwanini Haya maandamano yamezuiwa kiintelejensia

Nawatakia Dominica njema!
 
Back
Top Bottom