johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania tunaweza kuiga hii ni faida ya Katiba Mpya
Wanafunzi wa secondary ambao walipata mimba na tarehe za Mitihani zimewakutia hospital basi wanapelekewa Mitihani huko huko hospital na kuifanya
Kadhalika Wanafunzi waliofanya uhalifu na tarehe za Mitihani zimewakutia rumande basi watafanya Mitihani yao huko huko Polisi
Nchi Jirani mmetisha sana 😂
Hii iingizwe Kwenye Sera za CCM