johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kwani wazazi hawafai kusoma?Fungueni shule zenu msomeshe wazazi. Mbona simpo tuu!...
hiki ni jambo jemba la kuigwaTanzania tunaweza kuiga hii ni faida ya Katiba Mpya
Wanafunzi wa secondary ambao walipata mimba na tarehe za Mitihani zimewakutia hospital basi wanapelekewa Mitihani huko huko hospital na kuifanya
Kadhalika Wanafunzi waliofanya uhalifu na tarehe za Mitihani zimewakutia rumande basi watafanya Mitihani yao huko huko Polisi
Nchi Jirani mmetisha sana ๐
Hii iingizwe Kwenye Sera za CCM
ina maana wanaume wa kenya wana nguvu kuliko wa tanzania?Rate ya single mothers Kenya ni unbelievable. Nadhan hii ni moja ya Sababu inayoongeza ukali wa maisha.
Kule ni kawaida kuona pisi ina miaka 17 ina mtoto 1 au 2+ at the same time anaenda shule kama kawaida. Damn!
Tanzania ikae mbali na huo upuuzi unless siku ukimwona mtoto wako ana miaka 15 na kibendi juu utavunja champagne ๐พ kucelebrate.
Ipo aingie ktk mfumo usio rasmi kuna qt na pc zote ni option ila ya kuwarudisha shule hapana. Nadhani hamjawahi kuhudumia hawa vijana mashuleniNi lazima tukubaliane, kumfukuza mtu shule kwa makosa ya Mimba, Kutia mimba, Utovu wa nizamu huko ni kumhukumu kiasi kwamba hana second chance ya kurekebisha makosa yake.
Ni lazma kue na second option ya watu kama hawa ya kupata haki yake ya kielimu hata kwa kuendelea kama private candidates.
Lkn, kumfutia usajili binti alie pata mimba kidato cha tatu, tena ukute karambwa rambwa tu na mtt wa mjomba juu juu usiku bila hata ridhaa yake, haiko fair kabisa
Nimesema mfungue shule zenu muwasomeshe. Sijasema hawafai kusoma.kwani wazazi hawafai kusoma?
Hapana, Miaka 30 jela si kinyonge .ina maana wanaume wa kenya wana nguvu kuliko wa tanzania?