ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke
Huyu bwana haamini katika mpira hajui mpira wa Sasa ni sayansi. Yaani ligi imechezwa mechi 1 na mechi 2 za CAF jamaa ashamkatia tamaa Dube
Hizi media zinaajiri watu wa ovyo kabisa. Ni kauli ya kijinga kuhusishwa mpira na kurogwa
Analeta mtafaruku Kwa team ya Yanga, assume Dube anatazama kipindi anasikia TV wanasema anarogwa
Efm wajaribu kuwaambia wafanyakazi wake kutumia taaluma zake vizuri