Nimeshangaa wachambuzi maandazi wamepost kuwa Malawi wamefika hapo kwa sababu ya mtunza vifaa! Hizi chuki kisa ni Banda?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi, kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi.

Hizi ni chuki za wazi dhidi ya Malawi kisa Peter Banda anaichezea timu hiyo.
Yote ni kutaka kuudhirihishia umma wa wajinga wengi ambao ndio wafuasi wao kuwa,Simba haikuwa makini kumsajili Banda kwa vile hata mafanikio ya timu yake yanatokana na "mtunza vifaa"

Kama mnaamini uchawi una nguvu,je mnadhani hao waarabu wao sio wachawi?
Kama ni performance ya timu,mnaisemaje Senegal na ushindi wao wa jana?

Mnasemaje kuondolewa kwa Commoro?

Acheni kuzungumza mpira kwa hisia za chuki maana mtashindwa kuona technical aspect ya mpira .

Kwa kusema yote mliyosema,mlimaanisha hata timu yetu ya taifa,ipeleke mtaalamu wa kamati ya ufundi bila kibali sana ubora wa timu na wachezaji.

Kwa hiyo kwenu timu ikikosa kosa magoli basi imerogwa?Hamjui Chelsea ya Di Mateo ilichukua UEFA 2012 kwa taabu jinsi gani?Barca walitolewa huku waki posses 80% na kosa kosa nyingi mno.

Hivi ni lini tutapata watu makini wasiotawaliwa na chuki?
 
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi,kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi...
Bila shaka upo marekani, maana huwezi kuwa huku afrika halafu uamke usiku mnene kuandika haya makitu
 
Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi,kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi.

Hizi ni chuki za wazi dhidi ya Malawi kisa Peter Banda anaichezea timu hiyo.
Yote ni kutaka kuudhirihishia umma wa wajinga wengi ambao ndio wafuasi wao kuwa,Simba haikuwa makini kumsajili Banda kwa vile hata mafanikio ya timu yake yanatokana na "mtunza vifaa"

Kama mnaamini uchawi una nguvu,je mnadhani hao waarabu wao sio wachawi?
Kama ni performance ya timu,mnaisemaje Senegal na ushindi wao wa jana?

Mnasemaje kuondolewa kwa Commoro?

Acheni kuzungumza mpira kwa hisia za chuki maana mtashindwa kuona technical aspect ya mpira .

Kwa kusema yote mliyosema,mlimaanisha hata timu yetu ya taifa,ipeleke mtaalamu wa kamati ya ufundi bila kibali sana ubora wa timu na wachezaji.

Kwa hiyo kwenu timu ikikosa kosa magoli basi imerogwa?Hamjui Chelsea ya Di Mateo ilichukua UEFA 2012 kwa taabu jinsi gani?Barca walitolewa huku waki posses 80% na kosa kosa nyingi mno.
Hivi ni lini tutapata watu makini wasiotawaliwa na chuki?
Ni nini hiki?
 
Banda amefanyaje kwani? Mbona kama unapuliza cha Malawi? Maana hueleweki ati?
 
Hueleweki muzee.
 
Mashabiki Aina yako ndo wanasababisha Simba ionekane ya kawaida kumbe ni timu kubwa. Kuwa na Mashabiki Mbumbumbu kiasi hiki ni hasara tu.
 
Back
Top Bottom