Nimeshangazwa sana na wachambuzi maandazi wa kibongo wakiposti mtu anayefananishwa na Manara kama mtaalamu wa kamati ya ufundi ya Malawi, kuwa ndiye amezuia Malawi wasifungwe magoli mengi.
Hizi ni chuki za wazi dhidi ya Malawi kisa Peter Banda anaichezea timu hiyo.
Yote ni kutaka kuudhirihishia umma wa wajinga wengi ambao ndio wafuasi wao kuwa,Simba haikuwa makini kumsajili Banda kwa vile hata mafanikio ya timu yake yanatokana na "mtunza vifaa"
Kama mnaamini uchawi una nguvu,je mnadhani hao waarabu wao sio wachawi?
Kama ni performance ya timu,mnaisemaje Senegal na ushindi wao wa jana?
Mnasemaje kuondolewa kwa Commoro?
Acheni kuzungumza mpira kwa hisia za chuki maana mtashindwa kuona technical aspect ya mpira .
Kwa kusema yote mliyosema,mlimaanisha hata timu yetu ya taifa,ipeleke mtaalamu wa kamati ya ufundi bila kibali sana ubora wa timu na wachezaji.
Kwa hiyo kwenu timu ikikosa kosa magoli basi imerogwa?Hamjui Chelsea ya Di Mateo ilichukua UEFA 2012 kwa taabu jinsi gani?Barca walitolewa huku waki posses 80% na kosa kosa nyingi mno.
Hivi ni lini tutapata watu makini wasiotawaliwa na chuki?