Nimeshangazwa kiapo cha ubatizo Kanisa la Sabato salasala, aliyejitoa kubatizwa amekula kiapo mbele ya Kanisa, ila ataenda kubatizwa nchini Marekani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Sabato njema wapendwa

Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala

Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo hubatizwa hapohapo Kanisani

Alijejitoa kubatizwa leo ni kijana mdogo akiwa pekeyake na amekula kiapo mbele ya waamini ila mchungaji amesema hatobatizwa hapa Kanisani bali ataenda kubatizwa nchini Marekani

Nimeshindwa uliza shwali hata moja kwani muda huu tunaendelea na Ibada.

Mbarikiwe sana
 
Kama ni hivo basi na me nakuja kubatizwa
Niende marekan
 
Usitumie simu ukiwa ibadani.Kama huwezi kumheshimu Mungu baki nyumbani angalia hata muvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…