nimeshangazwa na huyu mwanaume..

Haya ndo madhara ya kukumanga kwenye juisi. Nani huyo aliyekufanyia uhuni wa aina hiyo?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hongera....hakuna aliyezaliwa anajua
 
Umezoea kunywa bia leo wamekunywesha whisky itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…