Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

edward93

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
562
Reaction score
1,347
Leo nimefanya window shopping kwenye moja ya kiwanda kikubwa cha mabati nimeshangazwa sana kukuta bati zimepanda bei sana! Sijui tunaelekea wapi na nn hatma ya hili.

Bati ya gauge 30 leo hi ni TZS 41,346 wakati miaka miwili nyuma bati hyo hyo ilikua TZS 27,000....Hata kama ni inflation hi kiboko na nadhani zitazidi kupanda.
 
1637661207184.png
 
Kama una pesa nunua kabisa, ukirudi baada ya mwezi utapiga ukelele kwa uchungu zaidi…. kila mtu apige sehemu yake.
Inaweza kushuka mkuu ila sidhani kama ni hivi karibuni! Ngoja tusubirie tu
 
Back
Top Bottom