Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

Acha uongo mkuu kwamba pc 1=tsh.41,346? Kwamba bando 1 ni zaidi ya 600k? Mbona mkoani bei ni hiyo 27,000 kwa PC?
 
Ya rangi au kawaida?
 
Wapi huko mkuu,Tanzania hii au Ni Burundi? Bati gauge 30 limepanda kutoka 18,000/= Hadi 22-25,000/=, hii Bei yako ya 41,000/= kwa gauge 30 imeanza lini?
 
Wapi huko mkuu,Tanzania hii au Ni Burundi? Bati gauge 30 limepanda.kutoka 18,000/= Hadi 22-25,000/=, hii Bei yako ya 41,000/= gwa gauge 30 imeanza lini?
Bati gani unazungumzia?
 
Maelezo yako haysjitoshwlezi.
1. Bati lipi unaongelea
2. Bati hilo lina urefu mita gani
3. Bati muundo upi?
 

 
Ukweli ni kwamba kuna mfumuko wa bei mkubwa kuanzia 10% kwenda juu ndani ya miezi minane.

Chakula, mbolea, ujenzi vitu vyote.

Bei ya mazao mishahara haijaongezeka sambamba hivi vitu.

Hayo ni matokea ya kutunga sera zisizo na uhalisia. Utaua biashara nyingi sana kwa style hii.

Pia ongezeko la mshahara halina maana, wanakupa 3% wanachukua 30%.

Ni bora uthibiti inflation (upandaji wa bei wa vitu vyote).

Kiwe kipaumbele Serikai BOT, Wizara ya fedha.

Hizo kodi, tozo mwisho wa siku hazitaweza kulipwa. Bia utaua wengi kwa sera kama hizi indirectly.
 
Matokea yake ni majambazi, wezi, rushwa, ufisadi, ukabaji, ubakaji vibaka wengi zaidi mtaani.

Biashara haziendi, watu wasio na matumaini wanaweza kufanya chochote.

Huwezi kuweka kodi/ tozo nk kila sehemu muhimu ndani ya miezi sita usipate inflation.

Angalau wangeleta vitu vyao taratibu, kwa mpangilio, kwa muda wa kutosha. So people and systems can adjust.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…