NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui Mayele kabisa"
Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana.
Sasa swali fikirishi mayele kaifunga simba Mara ngapi?
Kumbukumbu ni Mara mbili Tena kwenye kombe la ufunguzi wa ligi (ngao ya jamii).
Ina maana Mo dewj alilia Mara mbili mfululizo na hicho kilio kilisababishwa na mayele.
Ndiyo si anasema simba ikifungwa analia!
Haya itakuaja ulie kufungwa na mtu usiye mjua?
My take aliyekaribu na mo dewj ampeleke kwa Daktari bingwa kabisa wa matatizo ya akili maana kwa hizi statement zake inadhihirisha hayupo sawa kabisa.