NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kaka unamshauri mtu anaeingiza bilioni wakati wewe hata kuingiza buku kwa siku mtihaniNimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui mayele kabisa"
Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana...
Kaka hivi kwenu kuna mtu mwenye akili za kuingiza laki kwa siku?Naunga mkono hoja
Kwa hiyo mtu anayeingiza bilioni hashauriwKaka unamshauri mtu anaeingiza bilioni wakati wewe hata kuingiza buku kwa siku mtihani
Anajitoa ufahamu huyo.Labda itakua ana mfahamu ila hamjui mkuu
Sasa utamshauri nini? Tafuta kwanza akili za kuingiza pesaKwa hiyo mtu anayeingiza bilioni hashauriw
Kweli wewe ni mbumbumbu
Dah nahisi na wewe umeathirika kisaikolojia.Kaka hivi kwenu kuna mtu mwenye akili za kuingiza laki kwa siku?
Amini kwamba...Nimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui mayele kabisa"
Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana.
Sasa swali fikirishi mayele kaifunga simba Mara ngapi??
Kumbukumbu ni Mara mbili Tena kwenye kombe la ufunguzi wa ligi (ngao ya jamii)
Ina maana Mo dewj alilia Mara mbili mfululizo na hicho kilio kilisababishwa na mayele.
Ndiyo si anasema simba ikifungwa analia!!
Haya itakuaja ulie kufungwa na mtu usiye mjua??
My take aliyekaribu na mo dewj ampeleke kwa Daktari bingwa kabisa wa matatizo ya akili maana kwa hizi statement zake inadhihirisha hayupo sawa kabisa.
Sio wewe unaehangaika na watu waliokuzidi kila kituDah nahisi na wewe umeathirika kisaikolojia.
Anaweza akashauriwa kwani kutokumjua mayele ni kuvunja katiba ya nchi.Kaka unamshauri mtu anaeingiza bilioni wakati wewe hata kuingiza buku kwa siku mtihani
[emoji16]Anaweza akashauriwa kwani kutokumjua mayele ni kuvunja katiba ya nchi.
Yaani wewe ni popoma kweli aise watu wanamshauri tajiri wa duni sembuse huyo mlamba asali pale simba.Sio wewe unaehangaika na watu waliokuzidi kila kitu
Akiri ndiyo nini wewe kima wa pori la Utopolo?. Unajaza server kwa nyuzi za kipumbavu sanaNimeshangazwa na moja ya interview yakeanayosema "hamjui mayele kabisa"
Hapo hapo anajichanganya nakusahau kuwa alisema "simba inapofungwa huwa analia sana...
Lakini alimfunga akalia sana ndani ya gari.Mayele huyu huyu ambaye yuko kwenye payroll ya GSM na muuza matangazo ya nguo kuweni serious basi na mabilionea wana mambo mengi sana ya kuwaza sio kwa ushuzi uo
Kawaona mambumbumbu ndyo maana anananga na hamna lakumfanya.Mo kutokumjua mayele sisi Simba Sio tatizo letu..ilo ni tatizo lenu utopolo[emoji196]
Mpuuzi wewe mbumbumbu katika maisha yako hujawahi kukosea kenge wewe bimbilisa mavi [emoji41]Akiri ndiyo nini wewe kima wa pori la Utopolo?. Unajaza server kwa nyuzi za kipumbavu sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app