Nimeshangazwa na moja ya interview ya Mo Dewji akisema "hamjui Mayele kabisa"

Mnamtukuza sana huyu mwanachama mwenzenu na pia msemaji wenu aliye lalamikia mshahara mdogo wa laki 7! Kiasi cha kusababisha mdhamini wa Yanga, GSM kumuonea huruma; na baadaye kumuajiri.

Eti mnamtambua kama tajiri namba 1 nchini, na mwekezaji wenu; halafu anamlipa msemaji wa timu mshahara wa laki 7 tu kwa mwezi!!
 
Ukishamjua wewe mke wake inatosha. Siyo lazima kila mtu amjue huyo mayele
 
Watanzania kwa kukurupuka alisema anamuona tu ila hajawahi kukutana nae hebu weka hapa hyo video tatizo kitenge ana washika masikio ila hakukataa kwamba hamjui yaani manara na kitenge wamewashika masikio.
 
Watanzania kwa kukurupuka alisema anamuona tu ila hajawahi kukutana nae hebu weka hapa hyo video tatizo kitenge ana washika masikio ila hakukataa kwamba hamjui yaani manara na kitenge wamewashika masikio.
[emoji16] kwa hiyo unataka kusema hujaisikia interview yake
 
Hapa ndipo ninapomuamini manara hakukosea kusema kuwa pale yanga hamnazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manara alipojitokeza na kulalamikia malipo ya laki7 mkajitokeza kumsaidia na kuwaponda waliokuwa wanamlipa yaani waajiri wake wa mwanzo [emoji848]

ILA

Feisal kaonewa huruma baada ya kulalamika anakula ugali na sukari na malipo kiduchu na watu wenye pesa wameamua kumfadhili nyie mmejitokeza hadharani kulalamika.[emoji57]

Unatumia hoja hiyohiyo kuitetea yanga dhidi ya feisal salum na
Unatumia hoja hiyohiyo kuiponda SIMBA SC dhidi ya manara

Hivi nyie mpoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA UBONGO.
 
Sasa umeandika Nini hapo aisee, kweli mashabiki wa simba ubongo wenu umejaa makamasi [emoji16]
 
Uzuri nilishaahidi kuchangia mifuko 10 ya cement iwapo tu mtafikia muafaka wa kumjengea mwenyekiti wenu mstaafu, sanamu ya kumbukumbu.

Hivi inawezekana kweli mtu anayelipwa mshahara wa shilingi milioni 4 kwa mwezi aishi kwa kula ugali na sukari!! Yaani mpo kama kasuku. Kila mnachoambiwa, mnaamini!
 
Hata mo dewj akijitokeza hadharani akasema hajisaidii haja kubwa hao wataamini ubongo wao umejaafunza
 
Matajiri hata wakurugenzi wadogo wa makampuni Yao hawawajui wanafahamu TU uwepo wao ,Leo hii Mo akamjue mayele alimuona wapi ,kakutana naye lini?Tupeleke watoto shule kunatofauti ya kumjua mtu na kufahamu uwepo wake ,Kuna wachezaji wengi wa Simba Mo hawajui maana hajawai kukaa nao hata dakika 10 pesonally
 
Umeelewa nilichokiandika hapo juu naona umekuja na povu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…