Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Ikawa asubuhi ikawa jioni....
Habari za jioni Kasiende, nzuri.
Waelekea wapi niunge tela...!!
(Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu...
Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota....
Huku na kule meza ikaandaliwa.....๐๐๐
Baada ya hapo nikahamia kwenye mziki kunyoosha viungo huku vikilainishwa na kinywaji nyevu nyevu....๐๐๐
Basi kimiminika kinashka huku viungo vinalainika huku nanyoosha viungo.....
Aliyefata tela kachemsha karudi kulala mie sina hata tone la usingizi ndo kwaanzaaa kumekuchaaa....
Basi kundi la wanaume wakaanza kuimba, bia tamuu..... nani kasemaaa....
Mvinyo mtamiii weeweeee, ukikutana na mvinyo wa asali lazima uagane na nyonga....
Kitu lainiiii, nyororoooo, taaamuuuuu....
Imepoaaaaa, unaimeza bila kipiga funda aahahahahahahaaaa.
Mahaba mpaka pomoni...
Nimeshiba jamaniii, ila mpishi anaendelea tuu kupika....
Wine ๐ท taaam ๐๐....๐
Kasinde.