Nimeshiba Mahaba....πŸ’•

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Ikawa asubuhi ikawa jioni....

Habari za jioni Kasiende, nzuri.

Waelekea wapi niunge tela...!!

(Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu...

Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota....

Huku na kule meza ikaandaliwa.....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Baada ya hapo nikahamia kwenye mziki kunyoosha viungo huku vikilainishwa na kinywaji nyevu nyevu....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹


Basi kimiminika kinashka huku viungo vinalainika huku nanyoosha viungo.....

Aliyefata tela kachemsha karudi kulala mie sina hata tone la usingizi ndo kwaanzaaa kumekuchaaa....

Basi kundi la wanaume wakaanza kuimba, bia tamuu..... nani kasemaaa....

Your browser is not able to display this video.


Mvinyo mtamiii weeweeee, ukikutana na mvinyo wa asali lazima uagane na nyonga....

Kitu lainiiii, nyororoooo, taaamuuuuu....
Imepoaaaaa, unaimeza bila kipiga funda aahahahahahahaaaa.

Mahaba mpaka pomoni...

Nimeshiba jamaniii, ila mpishi anaendelea tuu kupika....

Wine 🍷 taaam πŸ˜‹πŸ˜‹....πŸ’•


Kasinde.
 
I like the way you dance.
 
Angalia wine huwa inashusha vitu chini huko, 😁
 
Kuna kibanda cha urithi nitakiuza soon!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…