Vampire 99
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 108
- 63
Nawasalimu wana JF wote
Sasa bhana juzi jtatu nilienda zangu kununua sweta kwenye pitapita nikazoom kiatu nikaikubali, nikapatania nikachukua kwa elfu 15. Leo sinakanyata nayo kichele kwenye mishe zangu, hahaha kurudi home kucheki soli imekula kinoma kama vile nilikuwa na drift kiatu road. Acheni tu roho inaniuma yani elfu 15 yangu hadi nimeshindwa kula chakula, note mimi sio mpenzi wa viatu.