'Nimeshikwa, nashindwa kujinasua, hebu nisaidieni'

Procrastination is the art of keeping up with yesterday
 
Chukua hatua jambo unalofanya sio zuri mbele za watu hata kwa mwenyez mungu acha ujinga eti unawapenda we mjinga mkeo ndo anakupenda jalibu kufikilia thamani yake na mlikotoka tambua sasa hao watoto wanahitaji malezi pia na elimu iliyo bora tulia acha utoto utakufa kabla ya wakati huko bado hujamaliza deni wanalokudai watoto wape elimu acha uzinzi ndg yang hayo mambo ya wake wengi yamepitwa na wakati.samahan km nimekuzi ujue najisikia uchungu sana.hebu vuta picha jinsi wanao watakavyoteseka bada ya kufanya mamuzi ya kitoto
 
Haya pasha nipashike na ukinivutia ntakupa kitu plasma hd hdmi uachane na huo mtivii wako wenye kichogo kaa kichwa cha kloro

khaaa, dogo unaleta dharau.nitakuwa sikupi hela ya lunch wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…