Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Wewe umejuaje kama anafanya kazi???
Kwa mujibu wa story yake...

Amesema tukio lilitokea saa nne asubuhi...
Means bonge alizima saa nne asubuhi...

Mpaka kumfikisha hospitali kwa hesabu za haraka itakua saa sita mchana...

Kwenda kureport polisi na kuswekwa ndani kwa masaa matano... Means ilifika mpaka kumi na moja jioni... Ofisi zishafungwa...


Cc: mahondaw
 
Duh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mabonge sasa
 
Smart911 Mtumishi saa 4 asubuhi Yupo mgegedoni duhhh!!?? Tena siku ya kazi???? Usinambie alilala shift katoka saa 3 asubuhi! Au aliripot akatoa excuse sio?? Au Yupo likizo??? [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…