Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Walet ina madola dola tupu mwendo wa wine na nyama chomq mpaka majogoo chi baby changu mimi.
Nakujaaa kesho urud hapahapa unalia lia nimekuzimisha
 
Nakujaaa kesho urud hapahapa unalia lia nimekuzimisha
Sijawahi na sitowahi kuzima kesho nitakuja na uzi wa kuna demu kakimbia na pichu mkononi.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijawahi na sitowahi kuzima kesho nitakuja na uzi wa kuna demu kakimbia na pichu mkononi.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu wasije fikiri ni mm
 
Kuvielewe hivi viumbe ni kazi sanaaa
 
Haaa haaa! Kibonge mzito,nakupongeza kwa kuwasemea wanaume vibonge!
 
Na mwanaume akizimia nan kashinda game
hahahah sasa hapo zaidi ya kushinda...mwanamke kashinda...ila zaidi huyo aliyezimia naye shida....ushindi huisha kwa shangwe sasa kuzimia kunaishia kwa balaa tu....hakuna mshindi ila kuna looser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…