Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Nakuekea kiporo siku yenu akina dada ikifika ntakuja na sabuni zote...
 
Cha hah chaiiii
 
Demis katika ubora wake..hyo ni tahadhari kwa yeyote.
Mana hyo tumbua sio ya mchezo mchezo. [emoji39] [emoji39]
 
Pole sana mkuu.. Punguza kukata kiuno hicho kama feni la Lg[emoji769], la sivyo ipo siku utaua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapa mm nmeishia kucheka tu maana, mtoa Uzi upo vizuri kwa kupangilia story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…