Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Kinachoniuma ni una kazi una chansi ya kulipa kodi na kuendeleza taifa ila unatoroka.

Tutakutana Eden
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa kabisa mkuu
 
Nimecheka sana aisee..eti utamu ulizidi! BTW haijalishi kama ni chai au kahawa ila ina kitu cha kujifunza.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alikuwa na halali ya kuzimia kabisaaa saivi ningekuwa selo jf ningemuachia nan
 
Upo vizuri kwa story! Hongera kwa utunzi bora
 
anataka tufahamu kuwa anajua kuzungusha kiuno kama panga boy
 
Demiss umemuonea kaka wa watu jmn. Ulijua hana pumzi .. kwann usingetafuta saiz yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
Kuna huyo nilimpata alinipiga show mpaka nikaomba poooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…