Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

Story zako zote unasifia kitumbua chako tu, alafu utakuta sio kitamu kiivyo kama unavyokipamba
Una maanisha kingekuwa kitamu kihivo angeshawekwa ndani eeh?[emoji16][emoji16][emoji16]

Kuolewa kuna heshima ake mzee baba acha tu.

Namshukur mungu kuniumba mwanaume.
 
Daah!! Ngoja kesho nianze kupiga tizi asee nisije na mimi kuzimia kwenye kitumbua cha mamaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]piga tizi ya pumzi mkuuu
 
Nimecheka sana aisee..eti utamu ulizidi! BTW haijalishi kama ni chai au kahawa ila ina kitu cha kujifunza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kabisa kitu cha ukweli hiki mkuu na kinafaaa kwa matumiz
 
Sukari haijakolea kwenye hii chai. Nakuja Pm hili ni tangazo pia.
 
Mmmmh Demiss we hatari nmecheka sanaaaaa hapo et anaunguruma kama injini ya malor ya dangote hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…